Log in

/dtg/news: English

BaseEnglish
(image) – Dira Theatre wakicheza Ngoma ya Zanzibar (Chasso) katika Maandalizi ya Mwisho ya Kujiandaa na Sherehe za Uzinguzi wa mbio za Mwenge, Uwanja wa Jamhuri Morogoro(Not translated)Edit
(image) – Meneja wa Dira akieleza jambo kwa mtendaji wa kijiji na mwenyekiti wa kijiji (hawapo pichani) katika zoezi la ufuatiliaji wa shughuli za mradi wa sera na sheria za ardhi zilizoendeshwa na Dira.(Not translated)Edit
(image) – Hawa ni baadhi ya watoto waliojengewa uwezo wa sanaa na kundi la Dira.(Not translated)Edit
(image) – Meneja wa Dira Ndg. Erasmo Tullo akizungumnza na baadhi ya wanachama wa Dira. Hii ni katika Ofisi ya Dira iliyopo kata ya Mafiga, Morogoro Manispaa.(Not translated)Edit
(image) – Baadhi ya timu ya Dira wakiwa katika picha ya pamoja. hii ni katika ziara ya kutoa elimu kwa njia ya sanaa vijijini.(Not translated)Edit
(image) – Wananchi katika kijiji cha Kitange Moja, wakifuatilia kwa makini moja ya kazi za sanaa zilizokuwa zikioneshwa na Dira Theatre.(Not translated)Edit
(image) – Dira Theatre wakiwa katika maandalizi ya Uzinduzi wa mbio za Mwenge Morogoro(Not translated)Edit
(image) – WanaDira wakitoa elimu kwa jamii kwa njia ya Igizo, hii ni katika kijiji cha Mtumbatu.(Not translated)Edit
(image) – Wasanii wa Dira Theatre Group wakitoa elimu kwa njia ya sanaa ya ngoma, katika kijiji cha Magubike.(Not translated)Edit
(image) – Maandalizi ya mwisho ya kujiandaa na uzinduzi wa mbio za Mwenge Uwanja wa Jamhuri Morogoro(Not translated)Edit