Envaya
/hakielimu/news
: English
Base
English
Watumishi wa umma watafanya kazi kwa ari endapo tu wameridhika na mazingira ya kazi na maslahi yao na si uamuzi wa mahakama pekee #Migomo
(Not translated)
Edit
Kila mwanafunzi ana haki ya kujifunza . Hivyo basi,Serikali na CWT wanapaswa kufikia makubaliano haraka kadri inavyowezekana, #MgomoWalimu
(Not translated)
Edit
Kusema serikali haina uwezo wa kuboresha maslahi na mazingira ya kazi ya watumishi wake; haileti unafuu wa maisha kwa watumishi wa umma
(Not translated)
Edit
Walimu wafundishe kwa bidii bila kinyongo, kwa kuwa wasipowajibika watakuwa wanawaumiza wanafunzi na jamii kwa ujumla. #MgomoWalimu
(Not translated)
Edit
Pressconference: Elimu Bora haiwezi kuletwa na walimu walio hoi #mgomowalimu
(Not translated)
Edit
Mgomo huu ushughulikiwe na uishe kabisa. Usiishie kuwaona walimu wamerejea kufundisha,huku wakiwa na kinyongo, italeta madhara zaidi
(Not translated)
Edit
HakiElimu inawakumbusha walimu kuwajibika. Wadai haki zao, huku wakitimiza wajibu wao wa kufundisha na kuendeleza elimu yetu #mgomowalimu
(Not translated)
Edit
Pressconference: Viongozi wa Serikali wasiwabeze walimu; kwa kufanya hivyo wanawakatisha tamaa #mgomowalimu
(Not translated)
Edit
Serikali ijijengee utaratibu wa kuboresha mazingira ya watumishi wake, na si kusubiri kwenda mahakamani kuzuia watumishi kugoma #MgomoWalimu
(Not translated)
Edit
Gharama za maisha zinazidi kupanda, na mfumuko wa bei nao unawaumiza watumishi kila siku. Hivyo, Serikali itafute vyanzo mbadala vya mapato
(Not translated)
Edit