Fungua

/manshep/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
(image) – LISHE DUNI, AFYA DHAIFU NA UMASKINI – Ingawa Tanzania imepiga hatua katika nyanja mbalimbali za afya, bado hali ya lishe si nzuri. 42% ya watoto wa Tanzania walio chini ya umri wa miaka mitano wanakabiliwa na udumavu, hii ni hali mbaya kwa mjibu wa Shirika la Afya Dunian (WHO) ambalo linautazama udumavu katika nchi kuwa ni wakutisha pale unapozidi 40%.1/3 ya watoto wenye umri kati ya miezi 6 na 59 wana...(Bila tafsiri)Hariri
(image) Environmental care is essential for Global Health, think Globally. – Utunzaji wa mazingira yetu ni muhimu kwa afya ya jamii ya watu wanaoishi ulimwenguni. Unapofikiria maisha fikiri kwa mtazamo mpana unaoiangalia dunia nzima kama eneo lako la mafanikio.(Bila tafsiri)Hariri
MAARIFA YA WENYEJI NA TEKNOLOJIA YA WAAFRIKA INAVYOWEZA KULETA MAGEUZI YA KIUCHUMI NA MAENDELEO. – Bidhaa pekee katika soko huria iliyo na ushindani wa kweli ni ile inayotokana na ubunifu. Wenyeji wa Afrika wanaweza kupambana na umaskini wao wenyewe bila kutegemea misaada toka nje ya bara hili. Bara la Afrika lina malighafi nyingi, elimu, ujuzi, sayansi na teknolojia ambazo zikitumiwa kwa ufanisi, zinaweza kabisa kuleta mageuzi ya kiuchumi, kiafya na...(Bila tafsiri)Hariri
MAAJABU YA MKOMAMANGA KATIKA TBA – Dr. Clifford B. Majani ...(Bila tafsiri)Hariri
(image) (image) Elimu ya ujasiriamali ina mchango mkubwa katika uboreshaji wa maisha na afya ya jamii. MANSHEP ikishirikiana na wadau mbalimbali katika mafunzo ya utengenezaji wa Sabuni za usafi wa mikono kwa ajili ya kunawa kabla na baada ya kula au kunawa baada ya kupata huduma za choo. Katika mafunzo haya yaliyofanyika Isanga katika kanisa la S.D.A, Mbeya washiriki walijifunza utengenezaji wa vitu mbalimbali. ELIMU NI UFUNGUO WA...(Bila tafsiri)Hariri
(image)(Bila tafsiri)Hariri
(image) – ZIJUE FAIDA ZA MTOPETOPE – i. Miti huu huweza kupandwa na kustawi sehemu kubwa ya nchi yetu – ii. Uvunaji na matumizi ya majani ni wa gharama nafuu, rahisi na pia ni rafiki wa mazingira – iii. Ina uwezo wa kuua viluilui vya mbu wasambazao ugonjwa wa malaria, matende, mabusha na...(Bila tafsiri)Hariri
(image) Vipodozi vinavyochubua ngozi na kuleta weupe bandia vinawaweka watumiaji wake katika hatari kubwa ya kupata kansa ya ngozi, ugumba na magonjwa ya figo.(Bila tafsiri)Hariri
(image) (image) Relaxer na Afya ya Msichana/Mwanamke. – Relaxer ni dawa ya nywele inayofanya nywele za mtu mwenye ngozi nyeusi wa asili ya Afrika zilainike na kunyooka kama nywele za wazungu. Watu wengi hasa wanawake wanapenda kutumia relaxer ili nywele zao ziwe na mwonekano tofauti. Kihistoria matumizi ya relaxer...(Bila tafsiri)Hariri
ZABIBU (Vitis vinifera L.)NA FAIDA ZA TIBA – Zabibu ni matunda yenye madini (kalishiamu, potashiamu na magnesiumu), sukari, vitamin na dawa-lishe kwa wingi. ...(Bila tafsiri)Hariri