Envaya
/viyoso/news
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
(image) – Vijana wakipatiwa mafunzo ya ICT kutoka kituo cha viyoso kiitwacho Victory & Faith kilichopo manispaa ya morogoro
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – baadhi ya vijana VIYOSO wanopatiwa mafunzo ya hotel na ujasiliamali kupitia kituo chao cha Victory & Faith Training Centre hivi karibuni
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – vijana wa VIYOSO wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye makao makuu ya viyoso Morogoro
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – walimu na mkurugenzi wa viyoso wakifurahia jambo pamoja mara baada ya kukabidhi michango mbalimbali kwa watoto walemavu wa shule ya k/Ndege manispaa ya Morogoro
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – vijana wanafunzi wa uhazili wakipata mafunzo kutoka kwa mwl. Kashimili kwenye kituo cha shirika la viyoso kikitwacho Victory & Faith Training Centre mjini morogoro
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – vijana wa Viyoso wakipata maelezo ya mambo ya hotel kutoka kwa Mwl. Mkude kituoni Victory & Faith kilichopo manispaa ya Morogoro.
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – vijana wakiwa kwenye darasa la ICT kwenye kituo cha Victory -Morogoro
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Baadhi ya vijana wakiwa kwenye Darasa la uhazili wakipatiwa mafunzo ya Secretarial kutoka kituo cha Victory & faith training Centre moja ya miradi ya Shirika la VIYOSO
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – vijana wakiwa kwenye mafunzo ya ICT kituoni Victory-Morogoro
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – vijana wa VIYOSO wakiwa na mwezeshaji wa mafunzo ya Hotel na ujasiliamali Mwl. Mkude
(Bila tafsiri)
Hariri