Base ((ururimi rutazwi)) |
Kinyarwanda |
|
MKUU WA MKOA WA MBEYA BWANA ABBAS KANDORO AMESEMA KUWA JITIHADA ZA KUKUZA UTALII KATIKA UKANDA WA KUSINI MWA TANZANIA ZINAWEZA KUFIKIWA IWAPO ITAUNDWA KAMATI MAALUM AMBAYO ITAONGOZA NA KUAINISHA MAENEO YENYE VIVUTIO AMBAVYO VITAHAMASISHA UJIO WA WAGENI WA NDANI NA NJE YA NCHI. Tujiunge na Festo Sikagonamo kwa taarifa zaidi. |
Views:
1
0
ratings | Time:
02:33 |
More in
Nonprofits & Activism |
|
|
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga
Injira ·
Iyandikishe