Envaya
/sawaka/post/2737
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
Shukrani kwa sawaka kwa kazi kubwa na nzuri wanayoifanya kuwasaidia wazee wa society yetu ya karagwe na tanzania kwa jumla
(Not translated)
Hindura
kwa muda mfupi wa miez 2 ambayo nmeishi Karagwe nimeshuhudia kazi zinazofanywa na SAWAKA za kuwasaidia wananchi hasa wazee na watoto wa Karagwe na mkoa wa Kagera kwa ujumla ni nzuri sana na naamini ni mojawapo ya kichochea maendeleo kwa wananchi hao shukrani kwa shirika hilo kwa kazi nzuri.
(Not translated)
Hindura
Asante Roswita, tunaamini kuwa wazee na watoto walio katika mazingira hatarishi ni jukumu la kila mmoja na SAWAKA wanalenga kuhakikisha wanatoa kile walichonacho kusaidia makundi haya, shukrani pia kwa wale wote wanaotao shukrani kwa kutambua juhudi za SAWAKA
(Not translated)
Hindura
Asante kwashukrani zako dinero kutoka Karagwe
(Not translated)
Hindura
ORGANISATION PROFILE. ...
(Not translated)
Hindura