Log in

/TEYODEN/news: English

BaseEnglish
TEYODEN YASHIRIKIANA NA WILAC KUJENGA UWEZO WA VIJANA KUKABILIANA NA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE. – Katibu waTEYODEN mwenyekiti na Mkurugenzi wa WILAC wamefanya kikao cha makubaliano ya ushirikiano ili kuwezesha vijana kuchukua majukumu katika kuhakikisha kuwa matatizo ya ukatili dhidi ya wanawake katika Halamashauri ya Manispaa ya Temeke unapungua. – Mwenyekiti wa TEYODEN alimwambia Mkurugenzi wa WILAC...(Not translated)Edit
VIJANA MANISPAA YA TEMEKE SASA KAENI MKAO WA KULA. – TEYODEN katika hatua ya kutia moyo wamepata nafasi ya kuwa na mwalimu wa ujasiriamali aliyewezeshwa na ILO kupatiwa mafunzo ya anzisha na kuza wazo la biashara.Start and improve your business idea (SIYB). – Baada ya mafunzo haya,moja ya kazi za mwezeshaji huyu ni kuhakikisha kuwa vijana na wafanyabishara wengine wanakuwa wafanyabiashara zenye kuleta tija na kuondoa mazoea ya kufanya biashara kienyeji. ...(Not translated)Edit
Donation(Not translated)Edit
TANZIA – MTANDAO WA VIJANA MANISPAA YA TEMEKE UNAWATANGAZIA KUWA TUMEPATWA NA MSIBA WA KIJANA MWENZETU ABDUL BWANGA ALIYEKUWA AKIISHI KATA YA YOMBO VITUKA MANISPAA YA TEMEKE.MAZISHI YATAFANYIKA YOMBO DOVYA TAREHE 15/2/2014.VIJANA WOTE TUNATAKIWA KUSHIRIKI MAZISHI HAYO. (image) MAREHEMU ABDUL BWANGA WA PILI KUTOKA KUSHOTO...(Not translated)Edit
PLANTING TREES AT THE GOOD DEEDS DAY APRIL 7 2019. (image) (image) (image)(Not translated)Edit
(image) TEMEKE Municipal community development officer Mr John Mbwana 4th from left side representing,Temeke Executive director during official oppening of Youth Awareness on SGDs training conducted at Iddi Nyundo hall in Temeke Municipal Council Coumpounds others are UN officials from United National Information Centre and Temeke Youth Development Network(TEYODEN)(Not translated)Edit
(image) (image) (image)(Not translated)Edit
TEYODEN yaendesha mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana. – Mtandao wa vijana upo katika harakati za kuinua uelewa wa vijana katika masuala ya ujasiriamali kwa vijana ambao wapo tayari kubadilisha maisha yao kutokana na kubadili mitazamo yao kutoka kukaa tu vijiweni au kumaliza shule/chuo na kulandalanda mtaani bila kufanya chochote.Takwimu zinazotokana na sensa ya watu ya mwaka 2012 inaonyesha vijana ni asilimia karibu 60 ya watu wote nchini na vilevile kwa mujibu...(Not translated)Edit
MABADILIKO KWA WALENGWA WA MRADI WA MABINTI WALIO PEMBEZONI YAENDELEA KUONEKANA. – “Mafunzo ya stadi za maisha,elimu ya ujasiriamali na uwezeshaji wa mtaji wa kuanzia biashara umenifanya nibadilishe mtazamo na matendo yangu kuelekea kwenye hatua za mabadiliko”anasema Nuru Matimbwa,Mnufaika wa mradi wa Mabinti walio na watoto chini ya umri wa miaka 20. – Nuru Matimbwa...(Not translated)Edit
USHIRIKI WA MTANDAO WA VIJANA NA MATUKIO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI TAREHE 1/12/2014 (image) (image) (image) (image) (image)(Not translated)Edit
(image) (image) SDGs facilitator from United Nation Information and Development Centre, making a speach to youth representatives from 23 wards of Temeke Municipality.During the Training Youth were able to acquire SDGs knowledge which they could also go impart other youth to their respective wards.(Not translated)Edit