Log in

/Brightlight/news: English

BaseEnglish
(image) – Wanawarsha wakiwa na nyuso za furaha wakimsikiliza mwezeshaji katika ukumbi wa mikutano wa asasi ya Bright Light.(image) – Wanawarsha with happy faces with sensitivity to the facilitator at the conference hall of the institution of Bright Light.Edit
(image) – Network programer of Bright Light Organization miss Bibiana Marco on her pose after a heavy task she was assigned to do.(Not translated)Edit
(image) – Mwezeshaji ndugu Kim Adiel Juan akitoa maelekezo amilifu jinsi ya kufanya kazi kwa ufanisi katika asasi ya Bright Light ili kuleta maendeleo endelevu kwa wanachama na jamii kwa ujumla.(image) – Facilitator Kim brothers Adiel Juan active casting instructions how to work effectively in the organization of Bright Light to bring sustainable development to members and the general public.Edit
(image) – Mwanawarsha ndugu Roggers William akisikiliza kwa makini maelekezo ya namna ya kufanya kazi kwa ufanisi katika asasi yao.(image) – Mwanawarsha brother William Roggers listened carefully instructions on how to work effectively in their organization.Edit
(image) – Mwanawarsha bi Mariam Ngai akifuatilia kwa makini maelekezo ya mwezeshaji wakati wa mafunzo yakiendelea.(image) – Mwanawarsha bi Vivian Ngai's instructions carefully monitored during the training facilitator in progress.Edit
(image) – Mkurugenzi mtendaji wa asasi ya Bight Light Mathew Daniel akitoa maelezo mafupi kuhusiana na mradi wa JENGA UWEZO kwa Mwl. Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Mkoani.(image) – Executive director of the organization Mathew Daniel Bight Light casting profiles and related capacity-building project for Mwl. Assistant Head of Primary School Region.Edit
(image) – Mwanawarsha ndugu Mathew Daniel akitoa maoni wakati wa semina ya namna ya kufanya kazi kwa ufanisi katika asasi ya Bright Light.(image) – Mwanawarsha brother Mathew Daniel's comments during a seminar on how to work effectively in the organization of Bright Light.Edit
(image)(Not translated)Edit
(image) – Mkurugenzi mtendaji Mathew Daniel (kushoto) na Afisa mshauri Kim Adiel (kulia) wa asasi ya Bright Light wakiwa katika ofisi ya mwalimu mkuu wa S/Msingi Mkoani hapa Geita wakati wa kubaini watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi shuleni hapo.(image) – Executive director Mathew Daniel (left) and Chief adviser Kim Adiel (right) of the Bright Light institutions working in the office of the head teacher of the S / Region Based on Geita time to identify children living in vulnerable school.Edit
(image) – These are nursery school pupils participating world's girl child celebration in Geita Region(Not translated)Edit