Injira

/viyoso/news: Kinyarwanda

BaseKinyarwanda
(image) – Wanachuo wa victory wakiwa na mkurugenzi wao Bw. Freddy Ng'atigwa walipofanya utalii katika milima Uluguru.(Not translated)Hindura
(image) – Wanachuo wakifurahia jambo kwa pamoja walipotembelea chanzo cha mto Morogoro(Not translated)Hindura
CHUO CHA VICTORY CHATOA VYETI KWA WAHITIMU WA MAFUNZO YA ICT – Victory & Faith Training Centre kimewakabidhi vyeti zaidi ya vijana 16 waliohitimu mafunzo ya compyuta ICT ngazi ya cheti. – Mkurugenzi wa Victory ambaye pia ni Mkurugenzi wa shirika la vijana morogoro-VIYOS0 aliwaasa vijana kutumia ujuzi walioupata wa...(Not translated)Hindura
Vijana wanaotumia matawa ya kulevya wanaopatiwa huduma ya kuacha kutoka shirika la VIYOSO wakiwa katika mahojianao na waandishi wa habari Ndg Tindwa na msilo – (image) – (image) – Mtumiaji wa Dawa za kulevya Bw. John akiwa kwenye pozi alipokuwa akifanya mahojihano na waandishi wa habari wa VIYOSO siku ya dawa za kulevya JUNE 26 2014 – (image) – Bw. Martini akitoa maelezo jinsi...(Not translated)Hindura
VICTORY YASHIRIKI MEI MOSI – Chuo Cha Victory & Faith Training Centre kimeshiriki katika maazimisho ya siku ya wafanyakazi duniani Mei mosi katika viwanja vya Jamuhuli Mkoani Morogoro. – (image) – Mkurugenzi wa chuo cha Victory akiwa na baadhi ya wanachuo wakifuatilia kwa makini maazimisho ya siku ya Mei mosi katika uwanja wa Jamuhuri Mkoani...(Not translated)Hindura
RIPOTI ya umoja wa mataifa ni kuwa Tanzania inaongoza kwa upitishaji wa madawa ya kulevya ikifuatiwa na Kenya katika ukanda wa Afrika ya mashariki Jumla ya tani sitini na nne za dawa za kulevya aina ya Heroine zilisafirishwa bila ya kukamatwa kwenda au kupitia afrika ya mashariki ikiwamo Tanzania kati ya mwaka elfu mbili na kumi na elfu mbili na...(Not translated)Hindura
(image) – Baadhi ya wanachuo wakifuatilia maonyesho yaliyofanyika katika siku ya wafanyakazi Mei mosi ndani ya uwanja wa Jamuhuli morogoro(Not translated)Hindura
CHUO CHA VICTORY & fAITH TRAINING CENTRE CHAAMASICHA UTALII WA NDANI KWA VIJANA – Chou cha Victory Kilichopo Mkoani Morogoro ambacho kipo chini ya shirika la VIYOSO kimeamasisha utalii wa ndani kwa vijana kwa kutembelea maeneo mbalimbali ya utalii yaliyopo ndani ya mji wa morogoro. – Akizungumza na wanachuo Mkurugenzi Bw....(Not translated)Hindura
CHUO CHA VICTORY TRAINING CENTRE CHAFANYA MAONYESHO WIKI YA ELIMU – Victory & Faith Training Centre ni chuo kinachotoa mafunzo ya Vocation na Ujasiliamali kwa jamii ya vijana mkoani Morogoro yakiwemo masomo ya Secretarial, Ushonaji, Hotel Managment, Computer na Lugha. – Victory ni cvhuo kilichopo chini ya shirika la vijana la VIYOSO na kinatoa mafuzo hayo ya Vocation kwa jamii ya vijana wanaotoka...(Not translated)Hindura
(image) – Katika kufanikisha ziara yao ya utalii wa ndani wanachuo cha Victory hawakusita kuoga maji ya mto Morogoro(Not translated)Hindura