Log in

/soet/news: English

BaseEnglish
(image) – Mnufaika wa mafunzo ya kuimarisha haki za wanawake akitoa Elimu kwa wananchi wa Mbagala Chalambe kwenye mikutano ya hadhara(image) – Beneficiary of training to strengthen the rights of women giving Education to the people of Mbagala Chalambe in public meetingsEdit
(image) – Wahitimu wa mafunzo ya KUIMARISHA HAKI ZA WANAWAKE mbagala Chalambe wakiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa SOET mara baada ya kupewa vyeti vya ushiriki(Not translated)Edit
(image) – Akina mama wa Mbagala Chalambe wakipata chai baada ya mapumziko katika mafunzo ya KUIMARISHA HAKI ZA WANAWAKE(image) – Chalambe Mbagala mothers after they have tea breaks in training STRENGTHENING WOMEN'S RIGHTSEdit
(image) – Mshiriki wa mafunzo ya kuimarisha haki za wanawake akichangia kwa vitendo aliyojifunza(image) – Participant training to strengthen the rights of women contributing to the acts he learnedEdit
(image) – Viongozi wa dini na akinamama wa mbagala Chalambe wakipata kifungua kinywa katika mafunzo ya KUIMARISHA HAKI ZA WANAWAKE(image) – Religious leaders and his mother's Mbagala breakfast Chalambe receiving training STRENGTHENING WOMEN'S RIGHTSEdit
(image) – Washiriki wa mafunzo ya KUIMARISHA HAKI ZA WANAWAKE wakiwa katika majadiliano ya vikundi.(image) – Participants of the training IMPROVEMENT OF WOMEN'S RIGHTS while in group discussions.Edit
(image) – Akina mama wa Mbagala Chalambe wakiwa kwenye majadiliano ya vikundi,wakijadili juu ya haki zao kwa mujibu wa sera ya wanawake na jinsia 2000(image) – Chalambe Mbagala mothers whilst in discussion groups, they discussed about their rights in accordance with the policy of women and gender in 2000Edit
(image) – Mwenyekiti wa Taifa wa SOET ndugu Derrick Luhende,akifungua mafunzo ya KUIMARISHA HAKI ZA WANAWAKE wa Mbagala Chalambe katika ukumbi wa Green Park Annex Chalambe-DSM(image) – Chairman of the National SOET Luhende brother Derrick, opening training STRENGTHENING THE RIGHTS OF WOMEN of Mbagala Chalambe hall in Green Park Annex Chalambe-DSMEdit
(image) – wawezeshaji na akina mama wa mbagala chalambe wakiwa tayari kutoa elimu ya kuimarisha haki za wanawake(image) – facilitators and mothers of Mbagala chalambe ready to provide education to strengthen women's rightsEdit
(image) – Baadhi ya akina mama wa Mbagala Chalambe wakiwa katika picha ya pamoja katika ofisi za SOET wakiwa na vipeperushi kabla ya kwenda mitaani kutoa elimu juu ya haki za akinamama(image) – Some mothers of Mbagala Chalambe being in the picture with offices in SOET with street flyers before going on the right to education for womenEdit