Fungua

/hakielimu/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
"Wahusika" hoja ya wanafunzi hawa mmeisikia http://t.co/OJyosxw9 #OkoaElimu #ChangeTanzania(Bila tafsiri)Hariri
Mgomo wa Walimu watikisa nchi nzima :Wanafunzi waandamana kudai haki yao ya kupata elimu, baadhi ya wanafunzi... http://t.co/2D0DX93V(Bila tafsiri)Hariri
RT @abrahamlazaro: Elfu moja tu inaweza ikabadilisha TZ, elimu pekee ndiyo ukombozi , tuwasomeshe watoto wetu vema ili tubadili taifa la...(Bila tafsiri)Hariri
Hali ya mgomo ikoje siku ya leo ? Wadau wa Elimu(Bila tafsiri)Hariri
Kesho saa 4 asubuhi kutakuwa na mkutano na waandishi wa habari kutoa tamko juu #MgomoWalimu @ITVTANZANIA @cloudsfm @bbcswahili @subinukta(Bila tafsiri)Hariri
Kesho saa 4 asubuhi kutakuwa na mkutano na waandishi wa habari kutoa tamko juu #MgomoWalimu @RadioOneStereo(Bila tafsiri)Hariri
Kesho saa 4 asubuhi tutakutana na waandishi wa Habari na kutoa tamko juu ya Mgomo wa Walimu unaoendelea nchini(Bila tafsiri)Hariri
RT @abrahamlazaro: Tunachangia harusi tunachangia TBL, tunachangia Voda,Tigo,Airtel,Zantel, elimu yetu je, sasa ni wakati wa...(Bila tafsiri)Hariri
Wanafunzi wa jana sio wa leo ,watanzania wa juzi siyo wa leo ! Wahusika mnatakiwa mjibu swali hili http://t.co/OJyosxw9 #okoaelimu(Bila tafsiri)Hariri
@MwananchiNews Kesho saa 4 asubuhi kutakuwa na mkutano na waandishi wa habari kutoa tamko juu #MgomoWalimu(Bila tafsiri)Hariri