| YAH: KUFUNGULIWA KWA SHUGHULI ZA TSSF RASMI KATIKA MWAKA 2015. – Uongozi wa Shirika la Kusaidia Jamii Tanzania (TSSF) unapenda kuwataarifu wateja wake, wananchi, na umma kwa ujumla kwamba, Shughuli za Shirika la TSSF zimefunguliwa kuanzia Januari 27, 2015 Mwaka huu. Hivyo basi, unaweza kutembelea ofisi za Shirika la TSSF zilizopo katika Ploti. Na.164, Barabara ya TANU Mkabala na Ofisi za Mamlaka ya... | (Bila tafsiri) | Hariri |