Log in

/TASKINONDONI/news: English: WIAHtiIjcgT4aS91DDNOaeeG:content

« Previous   ·   Next »
Base (Swahili) English

large.jpg

uongozi wa chama cha albino wilaya ya kinondoni unaomba msaada kwa mtu yeyote mwenye mapenzi mema na albino achangie mchango wa hali na mali kwa ajili ya kuwezesha watoto albino wa wilaya ya kinondoni ambao wameshindwa kusomeshwa na wazazi wao ambao wengine hawana uwezo na wengine wamewatelekeza. kwahivyo chama kinaomba kisaidiwe kuwawezesha watoto hawa kupata elimu. kwa kuwa chama chenyewe hakina uwezo wa kuwasomesha kwakuwa hakina chanzo chochote cha mapato. hivyo basi tunaomba taasi za dini,watu binafsi,mashirika binafsi na serikali kukiwezesha chama ili kiweze kusaidia watoto hawa. ikiwemo kuwalipia ada pamoja uniform na mahitaji muhimu ya shule hawa ni baadhi ya wanafunzi na kwa atakaye penda kuja kuwaona anaweza kufika katika ofisi yetu iliopo magomeni kondoa inatazamana na DDC MAGOMENI. waweza wasilisha mchango wako  katika account yetu ya benki acc "2052301322" yenye jina la "chama cha albino wilaya kinondoni" tawi la magomeni. KWA MAWASILIANO UNAWEZA PIGA SIMU NAMBA +255719169601 AU +255719292006. TUNATANGULIZA SHUKRANI ZA DHATI TUKIWA NA MATUMAINI KWAMBA TUTASAIDIWA.

          ASANTENI MUNGU AWABARIKI

            WENU KATIKA UTETEZI WA ALBINO

                   LEONARD EPIMAKI KIDOLE

                       KATIBU WILAYA.

(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register