Log in

/viyoso/news: English

BaseEnglish
(image) – vijana wa manispaa wakiwa katika kikundi kazi wakijadili mambo mbalimbali juu ya ujasiliamali(Not translated)Edit
(image) – mwezeshaji Bi Ashura kutoka ofisa za Manispaa Morogoro Kitengo cha Biashara akitoa mada juu ya fulsa za wajasiliamali vijana kupata leseni katika kuanzisha shughuli zao(Not translated)Edit
(image) – Baadhi ya vijana wakiwa katika kikundi kazi wakijadili mambo mbalimbali kuhusu mafunzo ya ujasiliamali yaliyotolewa na asasi ya viyoso(Not translated)Edit
SHIRIKA LA VIYOSO LATOA SEMINA KWA VIJANA MKOANI MOROGORO – Shirika la VIYOSO kwa kushirikiana na shirika la YES IDO yameendesha semina ya ujasiliamali kwa vijana zaidi ya 63 kutoka kata 29 za manispaa ya Morogoro. – Semina hiyo ilikuwa na lengo la kuwajengea uwezo vijana juu ya kujitambua na jinsi ya kuwa mjasiliamali hili kuinua...(Not translated)Edit
(image) – Baadhi ya wanamichezo vijana kutoka chuo cha Victory kilichopo chini ya taasisi ya VIYOSO wakiamasisha michezo kwa jamii(Not translated)Edit
(image) – Mtoa Mada juu ya Kijana kujitambua Dr. Bagati Richson akiwasilisha mada juu ya kijana kujitambua(Not translated)Edit
(image) – Kijana Irene Cyprian kutoka manispaa ya morogoro akiwasilicha mchango wa maoni kutoka kwa Vijana kuhusu changamoto za ujasiliamali baada ya kazi za vikundi(Not translated)Edit
(image) – Mwezeshaji wa semina kutoka ofisi za TRA kitengo cha mlipa kodi Bw. Ibrahim wa kwanza kushoto waliosimama akitoa mada juu ya umuhimu wa wajasiliamali kulipa kodi bila kushulutishwa hili kuchangia pato la Taifa.(Not translated)Edit
(image) – Mkurugenzi wa Asasi ya vijana VIYOSO mkoani Morogoro Bw. Freddy Ng'atigwa akifungua semina ya ujasiliamali kwa vijana wa manispaa ya morogoro semina iliyoandaliwa kwa ushirikiana wa asasi ya viyoso pamoja na YES IDO kutoka marekani.(Not translated)Edit
(image) – Kijana Frola John akiwasilisha maoni ya kikundi kazi kuhusu fulsa za kijana katika ujasiliamali(Not translated)Edit