SHIRIKA LA VIYOSO LATOA SEMINA KWA VIJANA MKOANI MOROGORO – Shirika la VIYOSO kwa kushirikiana na shirika la YES IDO yameendesha semina ya ujasiliamali kwa vijana zaidi ya 63 kutoka kata 29 za manispaa ya Morogoro. – Semina hiyo ilikuwa na lengo la kuwajengea uwezo vijana juu ya kujitambua na jinsi ya kuwa mjasiliamali hili kuinua... | (Not translated) | Edit |