Envaya

/chavitakondoa/news: Kiswahili

AsiliKiswahili
Kuna changamoto kubwa katika kundi letu la Viziwi kutokutambulika hata Vijijini kutokujua hasa umuhimu wa watoto Viziwi kwenda kupata elimu ya awali,msingi na sekondari na hata Ufundi. (image) Na changamoto zingine Viziwi wanatakiwa kuwezeshwa ili wafikie malengo yao ya milenia mpya (image) Viziwi wengi tuko nyuma kimaendeleo lisha ya kuwa na elimu nzuri,fani ya ufundi bado hatujaona mafanikio ama maendeleo kutokana na Vikwazo...(Bila tafsiri)Hariri
Jamii yetu ifahamu matumizi ya lugha ya Alama kuwe na uwiano wa mawasiliano kati yetu (viziwi na jamii nyingine). – Kutetea haki ya viziwi kwa vyombo ya usalama,mahakama na polisi ili kuwatambua jamii ya viziwi. – Kujenga ushirikiano na taasisi (asasi) mbalimbali ili kuwawezesha kulitambua kundi hili. – Kutoa mafunzo ya lugha ya Alama ili kutusaidia kutafsiri na kutupatia habari mbalimbali ili kuwa sawa na mabadiliko ya Dunia (Tabia...(Bila tafsiri)Hariri
Chavita imetoa mafunzo ya Lugha ya Alama kwa Taasisi za serikali na Wazazi wanaoishi na – Watoto Viziwi katika kata 5,ambazo ni Bereko,Kondoa mjini,Pahi,Kilimani na Chemchem – katika Wilaya ya Kondoa. – Mafunzo ya lugha ya alama kwa Taasisi za serikali wameliona kama Lugha ya Ajabu aidha – jamii bado wanaona lugha ya alama ni ngeni kwao walikuwa Hawajui kama Viziwi...(Bila tafsiri)Hariri
CommentsMaoniHariri
DecemberDesembaHariri
AprilApriliHariri
{month} {day}, {year}{day} {month}, {year}Hariri
DiscussionsMajadilianoHariri
Kinyarwanda(Bila tafsiri)Hariri
SwahiliALLIANCE FOR SOCIAL CHANGE { UMAKI } ni shirika lisilo la kiserikali na watu wake wa kujitolea ni 1. KENETH MKATA 2. MOHAMED KIZERU 3. MWANAIDI SALIMUHariri
NetworkMtandaoHariri
Emailbarnabasnjenjema.comBarua pepeHariri
FacebookFacebookahHariri
Google+Google+Hariri
Share:Sambaza:Hariri