Afya ya Uzazi ni haki ya kijana Tuitetee! – AFYA YA UZAZI NA UJINSIA KWA KIJANA KUTETEWAni muhimu kama kweli twahitaji vijana wenye kujiamini na kusimamia malengo ya maisha yao katika jamii na taifa letu kwa ujumla. – Lakini, tujiulize, nini maana ya Haki, Afya ya Uzazi na Ujinsia kabla ya kwenda popote:- – HAKI Haki ni kitu ambacho mtu au watu wanaweza kukidai kisheria.... | (Not translated) | Hindura |