Indaba africa imeanza mwaka 2007 ikijielekeza zaidi katika kutoa huduma za mwasiliano ya teknolojia ya habari na hasa huduma za Internet katika wilaya ya Mbozi katika mkoa wa Mbeya. Ikumbukwe kuwa wilaya ya Mbozi ambayo kwa idadi ya wakazi wake inachukua nafasi ya kwanza katika mkoa mbeya kwa wilaya zake ambapo inakadiriwa kuwa na watu 700,000. Kwa kipindi kirefu imekuwa ikikabiliwa na matukio ya uhalifu ambao katika hali ya kawaida matukio yake yamekuwa yakishtua umma... | (Bila tafsiri) | Hariri |