Log in

/hakielimu/news: English

BaseEnglish
Mwaka 2011 mwezi Octoba; HakiElimu ilifanya utafiti kufahamu kama walimu wana hamasa ya kufundisha , soma hapa http://t.co/h7oFHJjZ(Not translated)Edit
Pressconference: Walimu pia wanaangalia na wanafahamu yanayoendelea mfano rushwa, ufisadi, ubadhirifu halafu serikali haina uwezo?????(Not translated)Edit
Pressconference: HakiElimu haiungi mkono watu wanaowatumia watoto au kuwashawishi kuandamana na kuhatarisha usalama wao #mgomowalimu(Not translated)Edit
@arafat_86 Yap mwaka jana tuliliona hili linalotokea sasa ! Soma ripoti hiyo kwa undani ufahamu nini tuligundua(Not translated)Edit
@SAelloc Kampeni mbalimbali kuikumbusha serikali na jamii kutimiza wajibu wao ! Uhamasishaji na Utetezi ndio kazi yetu ! Mdharau Mwiba?(Not translated)Edit
Press conference: Madhara ya mgomo baridi wa walimu yameonekana katika matokeo ya mitihani pia maendeleo ya wanafunzi(Not translated)Edit
Mchana mwema,Tusipoziba ufa tutajenga ukuta ! Mwenye macho haambiwi tazama ! TAFAKARI CHUKUA HATUA #MgomoWalimu(Not translated)Edit
#Press conference: Katika hili #mgomowalimu Serikali inatakiwa kutumia maarifa zaidi kuliko ubabe(Not translated)Edit
Press conference: Pia taifa lielewe wanafunzi nao wanajitambua na wanafahamu haki zao #mgomowalimu(Not translated)Edit
TAMKO LA HAKIELIMU KUHUSU MGOMO WA WALIMU TANZANIA, 02 Agosti 2012 http://t.co/XRQI0TAd(Not translated)Edit