| Kwa miaka mingi, saratani imekuwa ni gonjwa ambalo limewatesa wengi na kusababisha vifo vingi nchini. – Sababu hasa ni asilimia kubwa ya Watanzania kutokuwa na uelewa hasa wa gonjwa hili, pamoja na namna ya kupunguza uwezekano wa kulipata na kwamba likigundulika mapema, linaweza kutibika. – Sababu nyingine ni kutokuwepo na idadi ya kutosha ya wataalamu wa kutosha kutoa elimu hii, pamoja na serikali kutoyapa kipaumbele mapambano dhidi ya magonjwa yasiyoambukizwa kwa... | (Not translated) | Hindura |