wapa tunaungana na mitandao yoteya watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI pamoja na baraza la watu wanaoishi na virusi vya ukimwi Tanzania kwa kuadhimisha siku ya kuwasha mishumaa kuwakumbuka wanaharakati walioishi na virusi vya ukimwi na kufariki kwa ukimwi, tarehe 30/05/2010 katika uwanja wa mashujaa mnazi mmoja dar es salaam. wao walijitoa muhanga katika kuielimisha jamii ya watanzania ili kupunguza kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi kazi walioiacha nasi tunaiendeleza Mungu aziweke roho za... | given we are in the networks yoteya people living with HIV / AIDS with the council of people living with HIV in Tanzania to celebrate the day of light candles remember them activists who were living with HIV and died of AIDS, on 5/30/2010 in the field of heroes dar es salaam Mnazi one. they were committed in kuielimisha muhanga Tanzanian society to reduce the prevalence of HIV infection, who left the work we develop the spirit of God aziweke marehmahala eternal peace. | Edit |