Asili (Kiswahili) |
Kiswahili |
 | Mabango yanayoonyesha wapi Nyumba za kulala wageni ziko hapa ni eneo moja lina mabango zaidi ya sita yote ni Lodge tu! |
 | Moja ya Nyumba za kulala wageni zilizopo mjini Njombe ambapo bei zake ni za kishikaji! yaani Poa haizidi 15,000/= kwa usiku mmoja wakati likitanda hilo, godoro hilo, miblanketi hiyo, Tv channel 120 na super sport plus, breackfast ya nguvu, nanihii ya nguvu na kadhalika ya nguvu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! |
|
|