(image) Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja (kushoto) akiwekeana saini na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Motherland Industries Limited kutoka India Bw, V. K. Sood (Kulia) uwekaji saini wa mikataba mitatu ya utafiti wa mafuta nchini, umefanyika leo jijini Dar es Salaam,... | (Bila tafsiri) | Hariri |