Mapendekezo Kuhusu Jinsi ya Kufanya Utafiti – Hivi sasa Envaya iko kwenye mchakato wakishirikiana na mashirika jijini Dar es Salaam kutoa utafiti kuhusu mafuriko yaliotokea Dar es Salaam mwezi disemba mwaka jana. Yafuatayo ni maoni na mapendekezo yaliyojitokeza wakati wa semina iliyoitishwa na Envaya tarehe 18/01/12 na 19/01/12.
– Unapoenda... | (Not translated) | Hindura |