Base (Swahili) |
English |
Mzee wa Komesho Msaniiiii A.Y kutoka Nchini Tanzania (katikati)akiwa amaehsikilia tuzo yake yake ya East Afrika Music Awards.Kulia ni mtangazaji Mahiri wa Clouds Radio B12 Mwimbaji wa nyinbo za injili Chrotina Shusho akiwana Tuzo Yake Mwakilishi wa Bendi ya Msondo Ngoma akionyesha tuzo walionyakua kwenye Best Rhumba Group katika East Africa Music Awards mashindano yariyofanyika Nairobi Kenya na kukusanyika kwa bendi za Afrika Mashariki na bendi ya msondo kuibuka Kidedea katika mashindano hayo akisibitisha ushindi uho meneja wa bendi Saidi KIbiriti.Picha na Habari na Dada Sauda Kilumanga

|
Elder of Komesho Msaniiiii In AY from Tanzania (center) at his award amaehsikilia its East African Music Advanced Awards.Kulia is a presenter of Radio B12 Clouds Gospel singer nyinbo Chrotina desperation he have his reward Representative band Msondo Dance pointing awards were seized in New Rhumba Group in East Africa Music Awards competition yariyofanyika Nairobi Kenya and assemble the bands of East Africa and the band boom emergence game in the tournament was sibitisha victory uho manager of the band Saidi KIbiriti.Picha and News and Sister Sauda Kilumanga

|