Base (Swahili) |
English |
 | Askari wa JWTZ wa kikosi cha 44 KJ wakiwa mazoezini kwenye mnara wa kumbukumbu ya mashujaa jijini Mbeya |
 | Bendi ya jeshi la Magereza wakiongoza gwaride |
 | Ukumbusho wa askari waliokufa vitani 1939 1945 |
 | Wanajeshi wakiendelea na mazoezi |
 | Mnara huu wa majina ya Mashujaa waliokufa vitani upo katikati ya jiji la mbeya sijui kama nao wataukumbuka kuufanyia usafi maana umezungukwa na nyasi KUTOKA BLOG YA MBEYA YETU
|
"
|
| Soldiers of the 44th Regiment TPDF KJ mazoezini the tower in memory of the heroes in Mbeya |
| Military band led the parade of Prisons |
| Remembrance of soldiers who died in battle 1939 1945 |
| The soldiers continue to practice |
| This tower of the names of heroes who died in battle there is between the city of mbeya do not know if they will remember for kuufanyia pads surrounded by grass FROM OUR BLOG FOR MBEYA |
"
|