Log in

/indabaafrica/post/mtoto-avunja-mlango-na-kumbaka-mama-yake-mzazi-akiwa-amelala,97993: English: WI000E6BEF76211000097993:content

« Previous   ·   Next »
Base (Swahili) English
Na Mwandishi Wetu, Songea ------------------------------------------------------------------------------------------------- JESHI la polisi Mkoani Ruvuma linamshikilia Frank Jota (26) mkazi wa kijiji cha Litisha Wilayani Songea kwa tuhuma za kumbaka mama yake mzazi mwenye umri miaka 54 ambaye jina lake limehifadhiwa wakati amelala nyumbani kwake majira ya saa za usiku. Kamanda wa Polisi Koa wa Ruvuma Michael Kamuhanda amesema kuwa tukio hilo limetokea januari mosi mwaka huu huko katika kijiji cha Litisha kilichopo nje ya mji mdogo wa Peramiho. Amesema kuwa siku hiyo ya tukio majira ya saa za usiku Jota alikwenda nyumbani kwao ambako alimkuta mama yake mzazi akiwa amelala na baadaye alianza kutafuta namna ya kuingia kwenye nyumba hiyo ambayo mlango wake ulifungwa na komeo kwa ndani. Amefafanua zaidi kuwa Jota baada ya kuona mlango umefungwa kwa komeo kwa ndani aliamua kuuvunja mlango wa nyumba hiyo kisha aliingia ndani na kwenda moja kwa moja kwenye chumba alicholala mama yake mzazi ambaye jina lake limehifadhiwa. Amesema kuwa Jota akiwa kwenye chumba ambacho mama yake alikuwa amelala alianza kumtishia kwa kisu alichokuwa ameshika mkononi na baadaye alimkaba shingo na kufanikiwa kumvua nguo ya ndani aliyokuwa amevaa kisha alianza kufanya naye mapenzi. Amebainisha zaidi kuwa wakati Jota akiendelea kufanya mapenzi na mama yake watu waliokuwa jilani na tukio walisikia kelele za mtu akipiga mayowe na walipofika kwenye eneo hilo la tukio waliingia ndani ya nyumba hiyo na kumkuta Jota akitokea kwenye chumba alicholala mama yake na baadaye alipowaona watu alijalibu kukimbia lakini majirani hao walifanikiwa kumkamata na kumpeleka kituo kidogo cha polisi cha peramiho. Hata hivyo kamanda wa polisi Mkoa wa Ruvuma Kamuhanda ameeleza kuwa polisi baada ya kumuhoji mtuhumiwa amekili kutenda kosa hilo na anatarajiwa kufikishwa mahakamani mara tu upelelezi utakapo kamilika. Mwisho.
By Staff Reporter, Ruvuma Region police linamshikilia Frank Jota (26) resident of the village of Songea District Litisha for allegedly raping his mother parent 54 years old whose name limehifadhiwa while lying to his summer home at night. Police Commander Michael Kamuhanda Ruvuma Region has said that the incident took place on Saturday January this year in the village of Litisha located outside the small town of Peramiho. He said that the day of the summer event at night Jota went home where he found his mother lying parent and later began to seek ways of entering the house that his door was closed and the lock on the inside. Jota Amefafanua more after seeing the door locked with the lock on the inside he decided to break the door of the house and then he went in and went directly into the room her mother was cholala parent whose name limehifadhiwa. Jota said that while in the room that her mother was lying began threatened with a knife which he had been holding hands and neck collar and was later successful domestic undressed she was wearing and she began to have an affair. Amebainisha further that while Jota he continued to have sex with his mother's people Jilani and occasion they heard the noise of someone screams and arrived on the scene and went into the house and found Jota he appeared in the room was cholala his mother and later when he saw people he jalibu run but neighbors were successful arrest and send him a police station Peramiho. However, the police commander Kamuhanda Ruvuma Region has indicated that the police after the defendant has pled to kumuhoji offense and is expected to appear before court once investigations when completed. Finally.

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
January 29, 2012
By Staff Reporter, Ruvuma Region police linamshikilia Frank Jota (26) resident of the village of Songea District Litisha for allegedly raping his mother parent 54 years old whose name limehifadhiwa while lying to his summer home at night. Police Commander Michael Kamuhanda Ruvuma Region has said that the incident took place on Saturday January this year in the village of Litisha located outside the small town of Peramiho. He said that the day of...