Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/indabaafrica/post/kwa-kuchelewesha-uwanja-wa-ndege-wa-songwe-tumethubutu,86865
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Nakumbuka kwa bunge la bajeti lilopita Mbunge wa Chunya Mh Victor Mwambalaswa na Mh Godfrey Zambi wa Mbozi Mashariki walimuuliza Mh waziri Nundu kuhusu lini huu uwanja wa Songwe utakamilika nae akasema kwa uhakika ungekamilika na kuanza kutumika Decemba 2011. – Kwa jinsi ujenzi unavyoendelea nadhani atakuwa alimaanisha 2012 – Na huu uwanja utajenga historia kwa kutumia zaidi ya 10 years kujengwa. – KUTOKA JAMII...
(Bila tafsiri)
Hariri
KWA KUCHELEWESHA UWANJA WA NDEGE WA SONGWE TUMETHUBUTU?
(Bila tafsiri)
Hariri