Fungua

/indabaafrica/post/samahani-wadau-hatukuwepo-hewani-kutokana-na-mgao,51251: Kiswahili

AsiliKiswahili
UMEME UMEITESA BLOG KWA MUDA MREFU KILA SIKU MGAO MPAKA HIVI LEO ANGALAU TUMEPATA MASAA KADHAA, SAMAHANI WADAU WANGU MSIVUNJIKE MOYO TUPO PAMOJA KASORO MAZINGIRA YANATUTENGANISHA, NINYI MPO MJINI SISI VIJIJINI INDABA AFRICA. (image)(Bila tafsiri)Hariri
SAMAHANI WADAU, HATUKUWEPO HEWANI KUTOKANA NA MGAO(Bila tafsiri)Hariri