Base (Swahili) |
English |
 | Moja ya kisima kilichojengwa na shirika la SHIPO mjini Njombe ambavyo vimeanza kuenea katika mji huo na kupunguza kabisa tatizo la ukosefu wa Maji, imeelezwa kuwa visima hivi vinadumu na ni rafiki wa maskini kutokana na uwezo wake katika kuzalisha maji ambayo yanaweza kutumika kwa shughuli za nyumbani lakni pia kwaajili ya umwagiliaji. Utengenezaji na ujenzi wake unatumia teknolojia rahisi kama unavyoona. |
|
| One of the well built by the agency in Njombe SHIPO which began spreading in the city and completely reduce the problem of lack of water, indicated that these wells vinadumu and is a friend of the poor due to its ability to produce water that can be used for domestic activities lakni also for irrigation. Manufacture and construction using technology as simple as you can see. |
|