Base (Swahili) | English |
---|---|
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI. CHAMA cha Waandishi wa Habari mkoa wa Mbeya(MBPC) kimepokeakwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mwanahabari mwenzetu,DannyMwakiteleko kilichosababishwa na ajali ya gari jijini Dar es salaam. Mwenyekiti wa MBPC mkoa wa Mbeya,Christopher Nyenyembeamekielezea kifo hicho kubwa ni pigo kubwa katika tasnia nzima ya habari hasakutokana na uwezo mkubwa aliokuwa nao marehemu enzi za uhai wake. “Mwakiteleko alikuwa kamusi ya kitaaluma na kisima chafikra,mfumbuzi na mbunifu wa kazi mbalimbali za kihabari na aliweza kufanyakazi zake na kuibua vipaji vya waandishi wengine,hakika wengi hawatakujakumsahau”Alisema Nyenyembe. Kwa kutambua uwezo aliokuwa nao kwa niaba ya waandishi wahabari mkoa wa Mbeya nachukua fursa hii kutoa pole za dhati kwa ndugu nafamilia yote ya Mwakiteleko bila kuwaacha marafiki zake wa karibu nawafanyakazi wa New Habari alikokuwa akifanya kazi kama Naibu Mhariri Mtendaji. Kifo cha Mwakiteleko licha ya kuwa pigo kubwa katika tasniaya habari kwa namna moja au nyingine kimetuachia fumbo kubwa kwa wanaharakatiwengine waliokuwa wakitumia kazi zao kupiga vita vitendo vya hujuma,rushwa naufisadi wa kutisha katika Taifa letu. Mwakiteleko alikuwa kioo hasa cha jamii katika kutekelezamajukumu yake,alikuwa mpole,mkalimu na mcheshi wakati wote lakini alikuwamakini zaidi katika usimamizi na utendaji wake wa kazi ambao ulimjengea heshimana nidhamu kubwa katika uongozi wake kamaMhariri kila alipokuwepo. Tunatambua kuwa kifo ndiyo njia pekee ya kumtenganisha binadamuyoyote na ndugu zake,marafiki na jamaa wa karibu waliozoeana na kwa kuwa hayondio mapenzi ya MUNGU,tumuache Mungu aitwe Mungu na jina lake lihimidiwe Milele…AMEN. IMETOLEWA NA CHRISTOPHER NYENYEMBE MWENYEKITI MBEYA PRESS CLUB |
PRESS RELEASE. Union of Journalists of the Mbeya Region (MBPC) kimepokeakwa profound regret reporting the death of fellow Mwanahabari, DannyMwakiteleko kilichosababishwa and a car accident in Dar es salaam. Chairman of MBPC region of Mbeya, Christopher Nyenyembeamekielezea that death is a huge blow to the entire media industry is sakutokana most likely he had with the late days of his life. "Mwakiteleko was a dictionary of professional and well chafikra, and creative solutions to a variety of media work and was able to work and explore its potential other writers, is most certainly not kujakumsahau" said Nyenyembe. Recognizing the potential he had for the press releases of Mbeya region I would like to offer our sincere condolences to the relatives of Mwakiteleko nafamilia all without leaving his closest friends nawafanyakazi of New Media where he was working as Deputy Managing Editor. Death of Mwakiteleko despite having a big blow in tasniaya information one way or the other great mystery to kimetuachia harakatiwengine who were spending their job to fight acts of sabotage, corruption naufisadi terrible in our nation. Mwakiteleko was a mirror of society, especially in kutekelezamajukumu it was mild, educator and pleasant person at all but he was concentrating more on management and its function, which was built heshimana great discipline in his leadership kamaMhariri all the palace. We know that death is the only way to separate binadamuyoyote and siblings, friends and close relatives who zoeana and that yondio God's will, God tumuache called God and the name blessed be his forever ... Amen. ISSUED BY Christopher NYENYEMBE CHAIRMAN MBEYA Press Club |
Translation History
|