Base (Swahili) |
English |
 | Bwana Frank Kilas mtu anayeaminika kuwa mrefu kuliko wote katika ukoo wake akiwa amenasa kwenye moja ya mapaa ya nyumba zilizopo Njombe katika pita pita yetu ambapo urefu wa ukuta hadi kwenye paa ni mita moja na sentimeta 55! |
|
| Lord Frank Vilas person believed to be longer than all of your relatives being caught up in one of the roofs of existing homes in the past through our Njombe where the length of the wall to the roof is one meter and 55 centimeters! |
|