Log in

/indabaafrica/post/wabunge-wa-tanzania-watembelea-uingereza,97995: English: WI00020E1DBCC35000097995:content

« Previous   ·   Next »
Base (Swahili) English
Mhe.+Balozi+Peter+Kallaghe+akiwakaribish
Mhe. Balozi Peter Kallaghe akiwakaribisha waheshimiwa wabunge
Katibu+wa+Chama+cha+wanawake+UK+%2528TAW
Katibu wa Chama cha wanawake UK (TAWA UK) Mariam Mungula akiwaeleza waheshimiwa machache kuhusu chama hicho
Afisa+wa+Bunge+Mrs+Justina+Shauri%252C+M
Afisa wa Bunge Justina Shauri, Mhe. Esther Matiku, Mhe. Beatrice Shelukindo na Mama Balozi Joyce Kallaghe wakiwa wanamsikiliza mhe. Balozi akitoa ukaribisho
Mwana+libeneke+Jestina+George+akiwa+kati
Mwana blogger Jestina George akiwa katika picha ya pamoja na waheshimiwa Al-Shaymaa J. Kwegyir, Agripina Z Buyogera na Susan Lyimo
Picha+ya+pamoja+na+waheshimiwa+baada+ya+
Picha ya pamoja na waheshimiwa baada ya chakula cha jioni
Wageni 11 wakiwemo Wabunge 11 na Afisa wa Bunge 1 waliotokea nyumbani Tanzania na kuja UK kwa Mualiko wa Commonwealth parliamentarians Group (CPA) walikaribisha chakula cha jioni na Mama Joyce Kallaghe Mke wa Balozi wa Uingereza akiwa na Viongozi wa Chama cha TA na TAWA nyumbani kwake.
Wabunge hao 11 wote wanawake na ambao miongoni mwao ni Viongozi wa wajumbe wa Tanzania Women Parliamentarians Group (TWPG) ,waliongozwa na Mwenyekiti wa TWPG Mheshimiwa Mama Anna Abdalla MP, na wakiwemo Mh.Susan Lyimo MP, Mh. Magdalena h. Sakaya (MP) , Mh. Angela Kairuki (MP), Mh. Esther matiko (MP, Mh. Beatrice Shelukindo (MP), Mh. Riziki Omari Juma (MP), Mh. Namalek Sokoine (MP), Mh . Faharia Hamisi (MP) ,Mh. Al-Shaymaa J. Kwegyir (MP), Mh. Agripina Z Buyogera (MP) na Afisa wa Bunge Mrs Justina Shauri.
Wageni walikaribishwa na Balozi Mheshimiwa Peter Kallaghe na Mama Balozi Joyce Kallaghe , Mheshimiwa Balozi aliongea machache ya Ukaribisho na kumpa nafasi Mh.Mama Anna Abdalla ambae alishukuru kwa mualiko huo na kuelezea kuhusu Umoja wa Wabunge Wanawake (TWPG) ambao kila Mbunge Mwanamke wa Bunge la Tanzania ni mwanachama wake na jinsi gani TWPG inavyofanya kazi kwa pamoja bila ya kujali itikadi za vyama vya kisiasa vya Waheshimiwa hao.
Usiku huo iliweza dhihirika kwa jinsi waheshiwa hao walivyokuja kujitambulisha kila mmoja alisimama na kujitambulisha na walilotilia msingi katika utambulisho wao ni kamati zao tofauti za Bunge ambazo wanahusika nazo na kuwa wnachama wa kikundi cha TWPG. Wageni waliokuwa pale walishuhudia zaidi ya nusu ya hawa wabunge waliongia na furaha bila ya kujali kuwa bado wana uchovu wa safari kutoka nyumbani wakisahau kutaja vyama vyao vya kisiasa. Mheshimiwa Mama Anna Abdalla alisisitiza kwamba ingawa vyama vya siasa ndio vilivyowapeleka wote bungeni lakini wakishaingia katika Bunge la Jamhuri ya Muungano ,wanawake bungeni hawaangalii vyama vyao vya siasa bali huwa wakiwa Bungeni kabla ya sera yeyote kupita Wanawake huwa wote kwa Umoja wanaangalia hii itamnufaisha vipi Mwanamke na Mtoto wa Kitanzania.
Maneno haya ya Mheshimiwa Mama Abdalla yalidhihirishwa na jinsi Waheshiwa wote walipokaa katika meza moja na kuongea na kucheka kwa pamoja na kwa furaha huku wakila chakula kitamu cha jioni bila ya kujali pale kwenye ile meza kuna CCM, NCCR, CUF wala CHADEMA.
Kitendo hiki kiliwavutia sana viongozi wa wanawake London ambao walikuwepo katika shuguli hii Bi. Nelly Msemwa (TA Taifa Deputy chair anaeshughulikia mambo ya wanwake ),Bi. Mariam Kilumanga(TAWA Chair ), BI Mariam Mungula (TAWA Secretary) , Bi Rose Kiondo (Afisa Ubalozi) na Bi Jestina George (TA London na Blogger), kiasi ambacho walipopewa nafasi ya kuongeza machache walimpa nafasi hii Bi Mariam Mungula ambae aliwashukuru sana Waheshimiwa Wabunge wa kitendo hicho na somo walilompa la kuwa hata Wakiwa Bungeni yeye akifikiri hakuna mashirikiano kati ya vyama tofauti kumbe sivyo kabisa wakiwa ndani na nje ya Bunge wanaweka wote ni kitu kimoja.
Bi Mariam Mungula vilevile alielezea kaazi za kikundi wa kina mama cha hapa UK ambacho yeye ni mmjoa wa viongozi wake Tanzania Women Association (TAWA) na kumalizia kwa kuwaomba waheshimiwa wabunge kupitia TWPG wasihau kuwa kuna wanawake wengine wa kitanzania hata kama ni nje ya nchi na ambao wako tayari kushirikiana nao kwa lolote katika kumuendeleza MWanamke wa KItanzania.
Kikundi hichi cha Waheshimwa kimekuja Uingereza kwa Mualiko wa CPA kwa siku chache katika majukumu yao ya kila siku ya kumpingania Mtanzania.
Mungu Ibariki Tanzania.
Na Jestina George wa www.jestina-george.com
cleardot.gif

N8LYvOe3UMY
Mhe.+Balozi+Peter+Kallaghe+akiwakaribish
Hon. Ambassador Peter Kallaghe he received honorable legislators
Katibu+wa+Chama+cha+wanawake+UK+%2528TAW
Secretary of the Association of UK women (Tawa UK) Mariam Mungula stating a few chiefs of the party
Afisa+wa+Bunge+Mrs+Justina+Shauri%252C+M
Officer Justina House counsel, Hon. Esther Matiku, Hon. Beatrice Shelukindo Ambassador and Mrs. Joyce Kallaghe while they listened to the Hon. Ambassador casting invitation
Mwana+libeneke+Jestina+George+akiwa+kati
Jestina blogger son George was in the picture with the chiefs of Al-Shaymaa J. Kwegyir, Agripina Z Buyogera and Susan Lyimo
Picha+ya+pamoja+na+waheshimiwa+baada+ya+
Picture with the Chiefs after dinner
Guests 11 including members 11 and Officer of the National Assembly first who come home to Tanzania and came to UK for Mualiko of Commonwealth parliamentarians Group (CPA) were invited for dinner and Mama Joyce Kallaghe wife of British Ambassador at the leaders of the Association of TA and religious home.
These 11 MPs and all women who are leaders among the members of Tanzania Women Parliamentarians Group (TWPG), were led by Chairman Mr. Mama Anna Abdalla TWPG MP, and MP Lyimo Mh.Susan including, Hon. Magdalena h. Sakaya (MP), Hon. Angela Kairuki (MP), Hon. Esther tempering (MP, Hon. Beatrice Shelukindo (MP), Hon. Provision Omari Juma (MP), Hon. Namalek Sokoine (MP), Hon. Faharia Hamisi (MP), Hon. Al-Shaymaa J. Kwegyir (MP), Mh. Agripina Z Buyogera (MP) and Chief Parliamentary Counsel Mrs Justina.
Guests were welcomed by Ambassador Mr. Peter Kallaghe and Mama Ambassador Joyce Kallaghe, Mr. Ambassador spoke little of the invitation and give him a chance Mh.Mama Anna Abdalla, who was grateful to the right is the same and explain about Parliamentary Union Women (TWPG) that every MP Lady of the Parliament of Tanzania is a member of and how it works TWPG together regardless of the ideology of political parties Honourable them.
That night the United managed manifested in how they came to identify each one stood up and introduce themselves and they lotilia based on their identity is their separate parliamentary committees that are involved have to be members of a group of TWPG. Visitors who were there witnessed more than half of these legislators who entered and be happy regardless they are still tired from the trip home if they forget to mention their political parties. Mr. Mama Anna Abdalla stressed that although political parties are vilivyowapeleka all parliament, but they made ​​it into Parliament of the Union, women in parliament are not looking their party political but are in Parliament before the policy any passing Women tend to all United envision this itamnufaisha how the woman Tanzanian child.
These words of Mr. Mama Abdalla the United yalidhihirishwa and how they all lived in the same table and talk and laugh together and happy while eating delicious food dinner regardless of where on the table there are CCM, NCCR, CUF and CCM.
This practice greatly kiliwavutia London women leaders who were present in this activity Bi. Nelly Msemwa (TA National Deputy chair is eshughulikia the women), Bi. Mariam Kilumanga (Tawa Chair), BI Mariam...

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
January 29, 2012
(image) Hon. Ambassador Peter Kallaghe he...