Salaam ndugu zangu wana Kagera na Watanzania kwa ujumla. – Kuanzia tarehe 2.7.2012, mkoa wa Kagera hasa Wilaya ya Biharamulo, wananchi wilayani humo wameanza kutoa maoni yao katika kata ya Kalenge na Movata katika Mchakato wa Katiba Mpya. Tume ya Mabadiliko ya Katiba itaendelea kukusanya maoni ya wana Kagera katika wilaya ya Ngara (6.7.2012), Karagwe (9.7.2012), Kyerwa (12.7.2012), Misenyi (16.7.2012), Bukoba DC (19-21/7/2012), Bukoba MC (22-25/7/2012) na Muleba (26-29/7/2012).... | (Not translated) | Hindura |