Envaya

/JUYATA/network: Kiswahili: nR00059861FE4E0000114435:content

Asili (Kiswahili) Kiswahili

jumuiya ya Juyata imeongeza Ubia na Jumuiya ya Sober Tanzania na imeamua kuanza kufanya kazi pamoja huko katika Mji wa Dar es salaam. Kuunga mkono mkono juhudi za Sober Tanzania katika mapambano dhidi ya Madawa ya kulevya

pia katika klupambana na madawa ya kulevya jumuiya ya Tawwabiina imeongeza ubia na shirika la kimataifa la INTERNATIONAL GREEN CRESCENT lenye makao makuu katika nchi ya uturuki katika mji wa instambul shirika hili la kimataifa linajihusisha na utoaji wa elimu kuhusu uteja wa aina zote [addiction] katika jamii likifanya kazi katika nchi mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe