Kila panapo kucha vijana wanahangaika katika kujikwamua na changamoto mbalimbali zinazowahusu. vijana wanapambana na matumizi ya madawa ya kulevya, ukatili wa kijinsia, changamoto mbalimbali za kielimu katika shule zetu, Biashara ya ngono,kasi ya maambukizi ya vvu n.k. – Katika nchi yetu vijana wanaongoza kwa zaidi ya asilimia 60% kwa kasi ya ongezeko la maambukizi ya vvu. Hii inasababishwa na vijana wengi kukosa nafasi ya kujifunza kuhusu haki za afya ya uzazi na ujinsia ikiwemo... | (Not translated) | Hindura |