Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/tuamke/topic/123835
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Wafadhili
(Bila tafsiri)
Hariri
Kila panapo kucha vijana wanahangaika katika kujikwamua na changamoto mbalimbali zinazowahusu. vijana wanapambana na matumizi ya madawa ya kulevya, ukatili wa kijinsia, changamoto mbalimbali za kielimu katika shule zetu, Biashara ya ngono,kasi ya maambukizi ya vvu n.k. – Katika nchi yetu vijana wanaongoza kwa zaidi ya asilimia 60% kwa kasi ya ongezeko la maambukizi ya vvu. Hii inasababishwa na vijana wengi kukosa nafasi ya kujifunza kuhusu haki za afya ya uzazi na ujinsia ikiwemo...
(Bila tafsiri)
Hariri
The website contains a lot of valuable information. help me a lot. – among us
(Bila tafsiri)
Hariri
Afya ya Uzazi ni haki ya kijana je, tutaweza kuitetea kwa kutumia mazingira yetu ya Asili?
(Bila tafsiri)
Hariri