Envaya

Tafsiri: English (en): Maandiko ya Watumiaji: CMQUstt7BcCcVWBLPx1tG0xQ:content

Asili ((unknown language)) English
Halmashauri za Wilaya ziweke bajeti kwa ajili ya mafunzo kwa watendaji Kata,Vijiji, na Halmashauri za Vijiji/Kamati za Vijiji
Kuwepo na mafunzo ya mara kwa mara kwa watendaji na wenyekiti wa Vijiji/Vitongoji
Viongozi wa Vijiji/Vitongoji wawe na dhana yakujitolea katika kujifunza na utafutaji wa taarifa mbalimbali, kuliko hali ya sasa ya kutanguliza posho zaidi kuliko kujifunza.
(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe