Log in

Translations: English (en): User Content: WI0007C4A87AE8C000096241:content

« Previous   ·   Next »
Base (Swahili) English
Jinsi ya Kupata Mapenzi Uyatakayo Katika Ndoa Yako Kila ndoa ina matatizo, na yanaweza kufumuka wakati wowote. La muhimu ni kwamba unapokuwa umeamua kujiingiza katika maisha ya ndoa unapaswa kujifunza jinsi ya kukabiliana na matatizo hayo ili yaweze kuisha salama na ndoa kuendelea kuwa salama. Bila kujali umeenda umbali gani katika barabara hii ya ndoa, zipo kanuni rahisi lakini za muhimu za usalama katika barabara hii. Si rahisi sana kuzitekeleza kanuni hizi, kwa wanandoa walio wengi, lakini ni lazima kuzitekeleza iwapo wahusika wanapenda ndoa yao iwe salama. Iwapo utazingatia kanuni hizi, utaifanya ndoa yako kuwa imara zaidi. Katika usalama huu utapata pia marupurupu – furaha, ngono, kuaminiana (kuaminiwa), mapenzi moto moto na kadhalika. Hebu sasa na tuziangalie kanuni zenyewe: -Endelea Kusoma
Jinsi ya Kupata Mapenzi Uyatakayo Katika Ndoa Yako Every marriage has problems, and can break out at any time. The key is that when you decide to pursue a life of marriage, you should learn how to deal with these problems to be completed safely and marriage continue to be safe. No matter what you go how far along this road of marriage, there are simple rules but the important safety in road this. Not very easy to implement these principles, for most couples, but players must perform if they want their marriage to be safe. If you consider these principles, you have made your marriage stronger. In this security will also get benefits - fun, sex, trust (trusted), will fire the fire and so on. Let us now tuziangalie principles themselves: - Continue Reading

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
January 25, 2012
(image) Every marriage has problems, and can break out at any time. The key is that when you decide to pursue a life of marriage, you should learn how to deal with these problems to be completed safely and marriage continue to be safe. No matter what you go how far along this road of marriage, there are simple rules but the...