Base ((unknown language)) | English |
---|---|
Ni miaka mitatu kamili tangu siku ile ya Disemba 06, 2008, Mpendwa Baba yetu Amulike Mwamikili Mwakyembe ulipotutoka. Hata hivyo watoto, wajukuu, vutukuu na wana ukoo wote wa Mwakyembe tunaamini bado upo pamoja nasi tukiishi katika busara zako, tunakuenzi na kukumbuka daima. — with Esnath Mwakyembe, Amulike Mwakyembe and Seky Mwakyembe. Mwanao Felix Mwakyembe |
(Not translated) |