Base (Swahili) | English |
---|---|
Watoto wa kike wathaminiwe na kupewa kipaumbele kuanzaia katika ngazi ya familia.Hii itampa nafasi mtoto wa kike kusoma na sio kufanyakazi za nyumbani peke yake wakati mtoto wa kiume akithaminiwa kama baba mtarajiwa wa familia na kutowajibika na shughuli za nyumbani |
(Not translated) |