Fungua
SAVE OUR ENVIRONMENT TANZANIA

SAVE OUR ENVIRONMENT TANZANIA

Dar es Salaam, Tanzania

large.jpg

Mshiriki wa mafunzo ya kuimarisha haki za wanawake akichangia kwa vitendo aliyojifunza

 

 

 

large.jpg

Washiriki wa mafunzo ya KUIMARISHA HAKI ZA WANAWAKE wakiwa katika majadiliano ya vikundi.

large.jpg

Viongozi wa dini na akinamama wa mbagala Chalambe wakipata kifungua kinywa katika mafunzo ya KUIMARISHA HAKI ZA WANAWAKE

large.jpg

Akina mama wa Mbagala Chalambe wakipata chai baada ya mapumziko katika mafunzo ya KUIMARISHA HAKI ZA WANAWAKE

large.jpg

Wahitimu wa mafunzo ya KUIMARISHA HAKI ZA WANAWAKE mbagala Chalambe wakiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa SOET mara baada ya kupewa vyeti vya ushiriki

large.jpg

Mnufaika wa mafunzo ya kuimarisha haki za wanawake akitoa Elimu kwa wananchi wa Mbagala Chalambe kwenye mikutano ya hadhara

large.jpg

Baadhi ya akina mama wa Mbagala Chalambe wakiwa katika picha ya pamoja katika ofisi za SOET wakiwa na vipeperushi kabla ya kwenda mitaani kutoa elimu juu ya haki za akinamama

large.jpg

wawezeshaji na akina mama wa mbagala chalambe wakiwa tayari kutoa elimu ya kuimarisha haki za wanawake

large.jpg

Akina mama wa Mbagala Chalambe wakiwa kwenye majadiliano ya vikundi,wakijadili juu ya haki zao kwa mujibu wa sera ya wanawake na jinsia 2000

large.jpg

Mwenyekiti wa Taifa wa SOET ndugu Derrick Luhende,akifungua mafunzo ya KUIMARISHA HAKI ZA WANAWAKE wa Mbagala Chalambe katika ukumbi wa Green Park Annex Chalambe-DSM