Kuona jamii bila umaskini.
kusaidia jitihada za serikali kuiletea jamiimaendeleo kwa kufanya ushawishi na utetezi wa haki za binaadamu,kutafsiri sera kujenga uwezo wa jamii,kutoa elimu na kuhamasisha utwala bora kwenye rasilimali za taifa ikiwemo mazingira hasa misitu ,wanyama pori na samaki.
Mabadiliko Mapya
SUSTAINABLE ECONOMIC AND ENVIRONMENTAL CONSERVATION ORGANIZATION imejiunga na Envaya.
21 Oktoba, 2011
Sekta
Sehemu
njombe, Iringa, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu