Injira
SAVE MY TALENT (SMT)

SAVE MY TALENT (SMT)

Save Tanzania Youth

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations

                       SAVE MY TALENT CAMPUS

Ni chuo kipya kabisa cha taasisi hii ambacho kitakua kikitoa elimu,katika fani tofauti ikiwa ni sehemu mojawapo ya malengo ya taasisi katika kuibua kukuza na kuendeleza vipaji.


 

 

SAVE MY TALENT CAMPUS (SMT)

 

Inawaletea pre-form five (V) 2015/16

 

MASOMO YANAYOTOLEWA NI ARTS, SCIENCE NA BIASHARA;

 

  • ARTS;       HGL,HGK,HKL
  • SCIENCE; PCM,PCB,CBG,PGM
  • BUSINESS; ECA, HGE, EGM.

 

masomo haya yataanza rasmi baada ya kumaliza mtihani wa kidato cha nne,na kuendelea,

 

AIDHA chuo chetu kinatoa kozi mbalimbali kwa ngazi ya cheti (certificate)

 

KOZI ZITOLEWAZO;

 

v certificate in computer maintenance & repair

 

v certificate in journalism

 

v Certificate in tourism and tour guide.

 

v certificate in hotel management

 

v certificate in secretarial course

 

v certificate in driving

 

VILE VILE tuna kozi maalumu ya (music and video) production, shooting, editing and graphic design

 

pia tunatoa huduma ya studio ya kurekodi muziki (audio & video production).

 

CHUO chetu pia kinatoa fursa ya masomo ya sekondari kwa miaka miwili (QT) pamoja na wale wanao risiti mitihani ya kidato cha nne iv (PC)

 

PATA kozi maalumu ya kingereza cha kusoma, kuandika na kuongea kwa miezi mmmitatu tu!!(3)

 

TUPO BOMANG’OMBE WILAYA YA HAI, BARA BARA YA SNOW VIEW HOTEL MKABALA NA SHULE YA MSINGI UHURU JIRANI NA OFISI ZA WARATIBU ELIMU (CLASTA).

 

TUNAZO hostel nzuri na za kisasa kwa WASICHANA NA WAVULANA

 

ADA ZETU NI NAFUU SANA

 

KWA MMAWASILIANO PIGA 0755 285 582/0712 743 486

 

NYOTE MNAKARIBISHWA,

 

 

 

 

 

 


1 Ugushyingo, 2015
« Inyuma Ahakurikira »

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.