Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

Bibi ambaye pia ni Mjane akifuatilia mafunzo juu ya sheria za kimila na kiisilamu katika haki ya mama ,mjane na watoto.

large.jpg

Katibu msaidizi wa KSPA akielekeza namana ya kuandika mahidhirio

large.jpg

Mshiriki wa kikundi cha Wosia na mhimua wake akifafanua mada kwa kuhusianisha na Mafunzo

large.jpg

Mshiriki ktk kikundi cha sera ya ardhi akinukuu dondoo za kuwasilisha.

large.jpg

Washiriki katika makundi wakijadiliana juu ya sheria ya ndoa na mirathi.

large.jpg

Washiriki katika makundi wakijadiliana aina za sheria ya ardhi na walengwa mhimu wa sheria.

large.jpg

Washiriki katika makundi wakijadili namna ya Kuitumia elimu waliyoipata na kusaidia wenzao

large.jpg

Washiriki katika makundi ya kujadili namna ya kuandika wosia

large.jpg

Mtendaji wa kata-akijadiliana na wana kikundi juu ya Maana ya sera na sheia ya ardhi na umhimu wake katika jamii