Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

Bi angelina Guranywa -Mwekahazina wa KSPA akifuatilia mafunzo ya sera na sheria ya ardhi no.4&5 November,2012

large.jpg

Bi magreth Heguye-Katibu tawala-Kigoma na Mwakilishi wa Mkuu wa wilaya akifungua mafunzo

large.jpg

Bi lyidia kishimba-Mwanasheria kutoka NOLA-Kasulu akisikiliza maneno ya ufunguzi

large.jpg

Washiriki katika warsha ya sera na sheria ya ardhi iliyoendeshwa na KSPA kwa ufadhili wa FCS,JULy-OKTOBER,2012.

large.jpg

Aliyesimama ni Mh.diwan-Viti maalum kata ya Katubuka akitoa neno wakati wa mafunzo ya Sera na sheria ya ardhi.

large.jpg

Mratibu wa KSPA akiwakaribisha washiriki katika mafunzo.

large.jpg

Aliyesimama ni Mwenyekiti wa KSPA_Bi Philipa basil maganga akimkaribisha mgeni rasimi katika warsha ya sera na sheria ya ardhi-September,2012.

large.jpg

Mjane na mnufaika wa mafunzo ya sheria ya ardhi,ndoa na mirathi yaliyoendeshwa na KSPA-Oktober,2012

large.jpg

Baadhi ya washiriki semina ya sera ya ardhi ya 1995-Ukumbi wa Just in Time.

large.jpg

UOngozi na Ugeni wa warsha ya mafunzo ya kujengea uwezo wajane na walea pekee katika masuala ya haki na uandishi wa wosia