1. Ustahiki | 2. Umba akaunti | 3. Tengeneza ukurasa mkuu |
Karibu katika Envaya! Baada ya dakika chache tu, shirika lako litakuwa na tovuti, ambapo utaweza kugawa habari kuhusu miradi yako na kuwaambia watu kuhusu kazi yako.
Kwanza, tunahitaji kuhakikisha shirika lako linastahiki kutumia Envaya. Envaya itathibitisha mastahiki haya kabla ya kuchapisha tovuti yako hadharani.