Log in
Wanaharakati wa Elimu Mazingira na Afya (WEMA)

Mkalapa, Ndanda-Masasi, Tanzania

KUTUMIA nguvu ya umoja wa kikundi cha WEMA kuhamasisha wananchi wanaoishi vijiji vya Kata ya Mwena, pamoja na wakazi wa wilaya ya Masasi, walengwa wakiwa wale wenye kipato cha chini, kwa kushirikisha makundi yote ya jamii yaani; wanawake kwa wanaume, vijana kwa wazee, wanafunzi, pamoja na walemavu, ili washiriki katika shughuli za kujiletea maendeleo, ambayo kimsingi zitawaondolea hali ya umaskini na unyonge ambao hivi sasa umejiimarisha ndani ya wananchi walio wengi katika wilaya ya Masasi.

Latest Updates
Wanaharakati wa Elimu Mazingira na Afya (WEMA) updated its home page.
November 6, 2010
Wanaharakati wa Elimu Mazingira na Afya (WEMA) added Nuru Halisi to its list of Partner Organizations.
October 21, 2010
Wanaharakati wa Elimu Mazingira na Afya (WEMA) updated its Projects page.
KAZI NA SHUGHULI ZINAZOSHUGHULIKIWA NA KIKUNDI CHA "WANAHARAKATI WA ELIMU, MAZINGIRA NA AFYA" (WEMA) – 1. Kikundi cha WEMA kinaendesha Maktaba ya Jamii ambayo ipo katika kijiji cha Mkalapa kilichopo wilaya ya Masasi. Maktaba ya WEMA ina vitabu vinavyokidhi mahitaji ya... Read more
October 20, 2010

October 16, 2010
Wanaharakati wa Elimu Mazingira na Afya (WEMA) created a Team page.
TIMU YA VIONGOZI WA KIKUNDI CHA "WANAHARAKATI WA ELIMU, MAZINGIRA NA AFYA" (WEMA) NA MAHALI KIKUNDI KILIPO – MAKAO YA KIKUNDI CHA WEMA: KIJIJI CHA Mkalapa-Ndanda ... Read more
October 16, 2010
Wanaharakati wa Elimu Mazingira na Afya (WEMA) updated its Projects page.
KAZI NA SHUGHULI ZINAZOSHUGHULIKIWA NA KIKUNDI CHA "WANAHARAKATI WA ELIMU, MAZINGIRA NA AFYA" (WEMA) – 1. Kikundi cha WEMA kinaendesha Maktaba ya Jamii ambayo ipo katika kijiji cha Mkalapa kilichopo wilaya ya Masasi. Maktaba ya WEMA ina vitabu vinavyokidhi mahitaji ya... Read more
October 14, 2010
Sectors
Location
Mkalapa, Ndanda-Masasi, Mtwara, Tanzania
See nearby organizations