Fungua
kijogoo group for community development

kijogoo group for community development

morogoro, Tanzania

KUIHAMASISHA NA KUIELIMISHA JAMII  KWA KULETA MSUKUMO WA MAENDELEO KWA KUTUMIA MAFUNZO,MIJARIDA, VYOMBO VYA HABARI,  NA MAJADILIANO ILI JAMII IPATE KUFAHAMU HAKI NA WAJIBU WAO KWA KUTUMIA RASILIMALI ZILIZOPO NA KUFUATILIA MATUMIZI YA RASILIMALI HIZO ZA UMMA

Mabadiliko Mapya
kijogoo group for community development imeongeza Habari.
Habari wadau wa Maendeleo. – Napenda kuchukua fursa hii kuwasalimia na kuwatakia maandalizi ya sikukuu zijazo mbeleni,lakini pia kuhakikisha mnaipitia upya mipango kazi tayari kwa maboresho kwa mwaka mpya ujao. – Changamoto kubwa iliyoko mbele yetu ni upashanaji wa habari ambayo bado inasumbua sana na... Soma zaidi
1 Desemba, 2016
kijogoo group for community development imeumba ukurasa wa Jitolee.
Kijogoo Group for Community tupo Morogoro mjini,ni Asasi isiyo ya Kiserikali iliyosajiliwa tarehe 08/Jan 2008 na kupewa namba ya usajili 00NGO/0330. – Kwa sasa tuna nafasi moja tu inayohitajika ambayo ni AFISA MIRADI. – AFISA MIRADI:- – Mwombaji wa nafasi hii lazima uwe na Elimu ya kutosha na uwezo wa... Soma zaidi
1 Juni, 2016
kijogoo group for community development imeongeza Habari.
Habari zenu wadau, – Kijogoo Group for Community Development Imebahatika kuwasilisha maombi ya ruzuku ubalozi wa Ufaranza,hivyo na hamasisha wadau wote tutumie fursa hii kutuma maombi ya Ruzuku ili tuweze kuisaidia Nchi katika kupambana na mabadiliko ya Tabia Nchi na kusaidia Jamii inayoishi katika mazingira magumu ili sote... Soma zaidi
1 Juni, 2016
kijogoo group for community development imeongeza Habari 8.
Timu ya ufuatiliaji wa maendeleo na matokeo ya mradi kutoka Kijogoo Group ikiongozwa na Mkurugenzi wake Bwana Ramadhan Omary,Bwana Rajabu Msumi,mwandishi wa habari Bwana Thadei Hafigwa,Bwana Mohamed Nguku na Bi Ignita pamoja Bi Christina Mdaku wakifanya mahojiano na mtu mmojammoja na vikundi Soma zaidi
5 Mei, 2016
kijogoo group for community development imeongeza Wataalam Group Gairo kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
Wataalam Group Gairo. – Karibuni katika ulimwengu wa kidigatali, yaonekana mko nyuma sana hivyo nawaomba na kuwashauri hivi sasa mjiunge na Envaya
5 Mei, 2016
kijogoo group for community development imeongeza Foundation for Civil Society kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
The Foundation for Civil Society ni Mfadhili mkubwa wa Kijogoo Group for Community Development, Katika kipindi cha miaka 7 tumekuwa tukitekeleza miradi ya Utawala Bora kwa Ufadhili wake na pia imekua ikitujengea uwezo wa kiutendaji sisi Viongozi wa shirika la Kijogoo ili kufanya kazi kwa ufanisi na tija. ... Soma zaidi
5 Mei, 2016
Sekta
Sehemu
morogoro, Morogoro, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu