Injira
Indaba Africa

Indaba Africa

Mbeya, Tanzania

WANANCHI WAWAFANYIA VURUGU POLISI WAKATI WAKIENDA KUUFANYIA UCHUNGUZI MWILI WA MWANAFUNZI ALIYEUWAWA KWA KUTHUMUMIWA KUIBA SIMU

P3030090.JPG
Barabara ya kwenda Tabora maeneo ya lupa tingatinga chunya barabara hiyo ikiwa imefungwa kwa kuchoma matairi ya magari kuto ruhusu polisi kupita kwenda kuchukua mwili wa mwanafuzi aliyeuwawa kwa kutuhumiwa kuiba simu KUTOKA MBEYA YETU KILA KITU
P3030067.JPG
P3030072.JPG
Moja wa maaskari wa kutuliza fujo akiwa amejeruhiwa kwa kupigwa mawe na wananchi hao wa chunya
P3030081.JPG
Kijana huyu rasi ni moja wa vijana waliokuwa wakiwazuia polisi wasichukue mwili wa marehemu
P3030089.JPG
Wananchi wakiwatupia mawe polisi
P3030070.JPG
P3030071.JPG
Mji mdogo wa chunya ukiwa hauna hata mtu mmoja anaeonekana maeneo waliopo polisi
P3030064.JPG
P3030066.JPG
P3030067.JPG
P3030418.JPG
Hiki ndiyo kituo cha polisi lupa tingatinga chunya kilichoharibiwa na wananchi wenye hasira kali
P3030428.JPG
Hii ni nyumba ambayo walikuwa wakiishi askari wanaotuhumiwa kumuua mwanafunzi aliyetuhumiwa kuiba simu vifaa mbali mbali ya matumizi ya nyumbani vilichomwa moto na wananchi hao
P3030385.JPG
P3030408.JPG
P3030412.JPG
P3030432.JPG
Mkuu wa polisi mkoa wa mbeya Advocate Nyombi akiongea na viongozi wa lupa tingatinga chunya jana
P3030434.JPG
P3030429.JPG
Viongozi wa kijiji cha lupa tingatinga wakimsikiliza mkuu wa polisi mkoani mbeya jana Habari na picha tutawaletea baadae
« Inyuma Ahakurikira »

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.